18 April 2015

WEMA AFUNGUKA LIVE ALITOA MIMBA MOJA TU ILIKUWA KANUMBA


Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname