Picha,Kim Kardashian alivyofanya kichwani kwake ilikuwa Blonde.
Mwanamitindo na mke wa rapa Kanye West Kim Kardashian amebadilisha
rangi ya nywele zake na kuwaka mtindo wa “Platinum Blonde” . Kim
ameonekana na mtindo huu wa nywele akiwa mjini Paris na mume wake Kanye
West kwenye Fashion week ya Balmain .
No comments:
Post a Comment