06 March 2015

KUTANA NA SAA HII YA KISASA YENYE MAMBO YA AJABU SANA.... YANI NI BALAA

Huawei watch 
Mpaka sasa HUAWEI wameendelea kuongoza kwa kuzimiliki headlines kubwa za dunia kutokana na bidhaa mbalimbali walizozindua ambapo leo ilikua ni zamu ya hii saa ya kisasa.
Ni saa ambayo pamoja na mambo mengine, inakupa muda kama zilivyosaa nyingine, simu yako inaweza kuwa mbali na wewe lakini hii saa ikakuonyesha nani anakupigia, inakupa utabiri wa hali ya hewa, kuna sehemu ya kukutunzia kumbukumbu za vitu unavyotaka kufanya.
huawei 5Kingine kikubwa nilichopenda ni kwamba ina uwezo wa kukutelea taarifa mpya kila wakati kama umepata msg Facebook, kwenye email na mitandao mingine ya kijamii.
Hizo ni baadhi ya sifa zake tu.
huawei 4
huawei 3
Inapatikana katika muonekano tofauti kama inavyoonekana hapa.
huawei 2

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname