04 March 2015

Kumbe Chris Brown ni baba wa mtoto wa kike mwenye miezi 9 aliye zaa na modol mwenye miaka 31

Mama wa mtoto huyo ni model ajulikanaye kwa jina la Nia ambaye ana umri wa miaka 31 na alikuwa akimjua Chris Brown kwa miaka mingi sasa.

Chris Brown na Nina inahabarishwa kuwa wana mshikaman mzuri sana 'Very good terms' japokuwa hwana uhusiano wa kimapenzi, Kwamujibu wa TMZ na pia inataarifu kuwa Breezy anafurahiya kuwa baba wa mtoto huyo.

Japokuwa inakuwa ni ngumu kwa Chris Brown kuwa na malezi kama baba kwa mtoto wake.
Mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni kwenye 'The Breakfast Club' mwezi ulio pita, Breezy alisema kuwa anataka kubaki kuwa muaminifu kwa mpenzi wake Karrueche. Kazi ngumu kwake ni kuwa kawaida kutokana na umri alio nao wa miaka 25 kuwa na mvuto wa kimapenzi. Alisema “I love my woman. In the same breath, I like to have fun and she know I like turning up. Even though it’s not a sexual encounter with females, I just like to be around females.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname