16 March 2015

KAKOBE AFUNGUKA,AMTAJA ROSE MUHANDO AJAOKOKA


Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship amefunguka na injili kali isiyo kwepesha ukweli kwa kuwataja baadhi ya waimbaji na viongozi wa serikali wana wokovu feki…..wokovu wakuigiza igiza….

NANUKU baadhi ya maneno katika mahubiri yake “Leo sikwepeshi…wanaume wanatikisa viuno Rose Muhando,hakuna Mungu humo ndani….watu wanaoenda mbinguni hawako hivyo Rose Muhando rudi msalabani kama hujazaliwa mara ya pili zaliwa leo.Unatikisa viuno…..viuno unaleta kanisani,viuno peleka bar Rose Muhando”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname