Msanii Nasib Abdul amesikitishwa na ujumbe wa simu unaosambaa kwa njia ya meseji ya kwamba amepigwa risasi, Diamond amesema taarifa hizo ni uzushi na akatoa onyo kali atakaye bainika na kushikwa na ujumbe huo anausambaza hatua kali za kisheria
zitachukuliwa, tukiongea na mtu wake wa karibu ambaye mpaka sasa yupo na Diamond amesema ni mzima
No comments:
Post a Comment