16 February 2015

Pamoja na msuko wa #5kichwa,hii picha ya Lulu inayozungumziwa zaidi mtandaoni.

lulu No
Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maiizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, Watoto wa mjini wanasema ni #Natural. Hii picha aliweka saa chache baada ya siku ya wapendanao imekuwa mvuto sana mtandaoni kwa msuko wake kichwani na ujumbe wake kwenye nguo aliyovaa.
lulu 1 lulu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname