11 February 2015

mmy Dimpoz: Inzi Kufa Kwenye Kidonda Sio Ufala....




Japokuwa bado kuna baadhi ya watu hawaamini kuwa mwigizaji Wema Sepetu yupo kwenye mahusiano ya kimapezi na mwanamziki Ommy Dimpoz, eti wana-shoot video!!, sasa ukweli unazidi kujitokeza siku hadi siku.
Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake  kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema kwenye bajaji  huku Wema akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona kwenye picha hapo juu.
Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!
Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.
Mzee wa Ubuyu

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname