Kanye West na mke wake Kim Kardashian wameteka vichwa vya habari
baada ya tuzo za grammy kwa kuonekana wakipeana busu huku mkono wa Kanye
ukiwa kwenye makalio ya Kim, hii ni picha moja kutoka kwenye hizi picha
ambazo zimeonekana kuongelewa zaidi kwenye mitandao baada ya tuzo za
grammy zilizofanyika jumapili iliyopita.
No comments:
Post a Comment