15 February 2015

JIDE; Gadner Alitembea na Wahudumu wa Restaurant Yangu na Kuwashika Mapaja Wanawake Mbele Yangu

 Moja ya Majibu ya Lady Jay Dee alipoukizwa swali na shabiki wake~Huoni kama umejishushia hesima kuachana na mume?
JIBU~Sioni hivyo,ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kusihi na mume asie na heshima,anaweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba,pia kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini ukiachilia mbali vipigo.
Kutembea na wahudumu wa Restaurant yangu.Ushahidi ninao........niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa.bado kupigana na kuwatusi wateja pia kifupi ilikuwa sio ndoa ni mateso

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname