23 February 2015
HUYU NDO MPENZI MPYA WA MWANA DADA RIHANNA
Baada ya Rihanna na Leonardo DiCaprio kutoa ya moyoni mapema mwezi huu kuhusu ukaribu wao na mahaba yaliyopo baina yao, taarifa mpya zinasema kuwa Staa huyo mahusiona na mcheza filamu Richie Akiva.
Rihanna pamoja na Akvia, walikutana kwa mara ya kwanza ndani ya St. Barth’s over iliyopo ikiwa ni siku ya mwaka mpya ndipo toka hapo wawili hao wakaanzisha urafiki hadi kufikia hatua ya kuwa wapenzi. Akiva ambaye ni mmliki wa night club kubwa ndani ya jiji la New York na pia ni rafiki mkubwa wa Leonardo anayesemekana kuwa ni mpenzi wa Riri bila ya kumsahau Rapper Jay Z Kila la Kheri kwako Riri utulie sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment