23 February 2015

Amber Rose agoma kumpeleka mtoto wao 'Sebastian' kwenye birthday part iliyo andaliwa na Wiz Khalifa, Wiz aandika twitter za hasira

Jana ilikuwa mara ya pili kuwepo kwa siku ya kuzaliwa kwa mtoto wa rapper Wiz Khalifa 'Sebastian', na Wiz aliandaa bash kwa mtoto wake lakini mtalaka wake Amber Rose, alishindwa kumleta mtoto wao wa miaka miwili, Sebastian kwenye sherehe hiyo ya skiku ya kuzaliwa nakupotezea kitu kilicho msababisha Wiz aandike twittes za hasira.











Hivi karibuni kulikuwa na habari zinazo muhusu Wiz na Amber Rose, Story za malalamishi ya Wiz kuwa mtalaka wake huyo sio mama mzuri wa kulea mtoto na Wiz amekuwa akilalamika hivyo ili aweze kupata nafasi kubwa ya kukaa na mtoto wao Sebastian

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname