Kikundi
Maaruru cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba,Simba ukawa,jana
kilikuja na matunguli katika uwanja wa jamhuri mkoani Mororgoro,Mnyama
akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba wenyewe wapigane
wakipanga imani hizo za kishirikina.
Matunguli hayo yaliokuwa yanatisha kuyatazama yalikamatwa kabla ya mechi
na kuzua tafrani miongoni mwa wadau wa soka waliofurika uwanja wa
jamhuri.huu ni muendelezo wa imani za kishirikina katika soka la Bongo.
wadau wakiwa wamekamata matunguli
Mzigo ulikuwa hatari sana wadau
No comments:
Post a Comment