02 February 2015

BREAKING NEWS: FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname