Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea na kufanya bonge la show..
Mwanamuziki
Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege
wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya
kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea
leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho
Dr. Jakaya Kikwete.
Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.
Mkuu wa wilaya ya Songea Bw.Joseph Mkirikiti akisalimiana na Zari Mpenzi wa Diamond Platnumz.
Diamond Platinumz, zari, mkuu wa wilaya na management yake.
Diamond Plutnamz akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM.
Diamond
Platnumz akiimba pamoja na mwanamuziki Abdul Misambano wa kundi la TOT
katika sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea mchana huu.
Umati wa wananchi waliohudhuria katika uwanja huo.
No comments:
Post a Comment