Taswira
nyumbani kwa kina Mez B ambapo ibada inaendelea muda huu... Baadhi ya
wasanii pamoja na Wadau wapo wameshawasili mkoani hapa Dodoma kwa ajili
ya kuaga mwili wa mpedwa wao...Hivyo basi ndugu jamaa na marafiki wote
tukutane leo pale Nyerere Square ili wote kwa pamoja tuweze kumwaga
ndugu yetu Mez b |
No comments:
Post a Comment