TAARIFA:Leo Juma Tatu,Kuanzia Saa Sita Kamili Mchana,kwa Pamoja Tunakutana Pale Nyerere Square Kwa Ajili Ya Kumuaga Marehem #Moses a.k.a #Mez_B....Kama Uko Dodoma ama Maeneo ya Karibu na Dodoma,Tafadhali tunaomba uhudhurie na Tumuage Kwa Pamoja Ndugu yetu,jamaa yetu,msanii wetu MEZ B Mwanachemba!!!
No comments:
Post a Comment