Rihanna amefanyiwa pati ya kushtkiza na familia na marafiki wachache
kwenye siku yake ya kuzaliwa. Kampuni ya Roc Nation imefanya sherehe
ndogo kwaajili ya Bad Girl Riri.
Waliohudhuria ni pamoja na Jay Z, Beyonce, Vin Diesel, Queen Latifah, Russell Simmons na Naomi Cambell.
No comments:
Post a Comment