Ujumbe
huu umetoka kwa mmoja wa shabiki wa karibu wa wema sepetu anyetumia
acount hii @mtaawapili ya instagram : bad new nimezipata jana kuhusu
wemasepetu dah mpka nimelia kwa uchungu kwanini teamdiamond na teamzari
wamejipanga
vizuri kumrushia wema mavi na mkojo kwenye show yake yyote atakayo
fanya jamani mtto watu amefanya nini kwanini msimtafuteni wagomvi wa
daimond sio wema
No comments:
Post a Comment