Wiki
iliyopita January 2014 watalii fulani wawili huko Afrika Kusini
walijifanya wajuaji na kumkorofisha tembo na tembo akalishambulia gari
lao na kuliacha written off, huku akiwajeruhi hao watalii.
Unfortunately, ilibidi tembo auwawe kwa risasi na game rangers kwa
kuogopa kwamba anaweza kushambulia magari mengine. Angalia picha na
video link hapo chini. Ukisoma comments utaona watu wengi wamekasirishwa
na kitendo cha kumuua tembo huyo aliyechokozwa!
No comments:
Post a Comment