26 January 2015

BREAKING NEWSS...PROF MUHONGO APATA KAZI MPYA NI NZURI ZAIDI YA UWAZIRI



Siku Mbili tu. Baada ya profesa Sospeter Muhongo kujihuzuru nafasi ya waziri wa nishati na madini hii JanaTume ya Ramani na Madini Miamba na Mawe Duniani yenye makao makuu nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo kuwa mtendaji mkuu wa tume hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni inayopasua miamba diniani kama mwenyekiti.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname