21 January 2015

Teknolojia ya kugeuza risasi kuwa dhahabu yawekewa kizuizi

http://blogs.lawyers.com/wp-content/uploads/2013/06/gun-magazines-bullets-300.jpg
Chochote huwa vile kilivyo kutokana na aina aya molekuli zinazounda kompaundi hiyo, halikadhalika molekuli zote nazo hutegemea aina ya atomu zinazoiunda, vile vile atomu hutegemea kiasi na uwiano wa elektroni, protoni na niutroni zinazoiunda.
Hivyo kwa kucheza na uwiano huo wa viambata vya atomu Una

uwezo wa kugeuza chochote kuwa chochote utakacho.
Mfano teknolojia ya kugeuza madini ya risasi kuwa dhahabu iliyogunduliwa hivi karibuni. Teknolojia hii inahatarisha uchumi wa nchi wanaotunza reserve zao katika mfumo wa matofali ya dhahabu (bullions), hivyo wameiwekea vizuizi isitumike kabisa.

Mnachukuliaje uamuzi huu..?

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname