22 January 2015

MSHINDI WA MTOKO WA MBUGANI BAADA YA KUWEKA SAINI KWENYE MKATABA WA SAFARI YAKE




Mshindi wa mtoko wa mbugani kwenye promosheni ya Tutoke na Serengeti Bw. Deogratius Peter Bongole (24)

kutoka Rombo mkoani Kilimanjaro akiwa anapewa maelekezo kuhusu safari yake ya kwenda Mbuga ya wanyama ya Serengeti 
baada ya kutia sahihi mkataba wake wa safari hiyo . 
Akiwa na Meneja mauzo mkoa Kilimanjaro Orest Mmbaga (kushoto) na Afisa mauzo Moshi mjini Huruma Daniel (kulia) 
wakati alipofika katika Ofisi za Serengeti Breweries mkoa wa Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname