28 January 2015

SHIKAMOO PESA... SHIKAMOO SHABIBY....BASI ZAKE MPYA ZAWA GUMZO KABLA YA KUINGIA NNCHINI


#Shikamoo_pesa Kwa habari za uhakika nilizozipata basi hizi za shabiby zenye #tv kwa kila sitt ambapo kila mtu kwenye sit yake anaweza kuangalia #movie au mziki aupendaye na pia katika kila #tv inakuwa na Airphone ya kuvaa na pia mbele pamoja na kati kati kuna #big_creen Na pia katika kila seat ina system charge ambapo unaweza kucharge simu ya aina yoyote bila usumbufu ...basi two by one na zitawasili nchini tar 6 mwezi wa 4 mwaka huu... Sifa nyingine ya bus hizi zina choo ndani na pia unaambiwa hizi ni basi za kwanza kukanyaga kwenye ardhi ya Africa....haki ya mungu #shabiby cyo mtu wa kuchezea... Nakumbaka mwaka jana mwezi wa 12 aliagiza basi 10 mpya ...Kiukweli bila unafki napenda kumpongeza mh shabiby napenda kumalizia kwa kusema..#Shikamoo_pesa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname