Meneja Vipoozeo na mwonekano wa
kampuni ya bia ya Serengeti, Baraka Mandara (kushoto) akimkabidhi funguo
ya Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa , mshindi wa shindano la
“Tutoke na Serengeti “ linaloendeshwa na kampuni hiyo, Godfrey Longino Mpiruka
(kulia) katikati ni Afisa mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti, Aman Kimaro na
mwakilishi toka kampuni ya BPESA, Balbo Kayombo, hafla ya makabidhiano hayo
ilifanyika Tabata Garden jijini Dar es Salaam. Kwa upande mwingine Bw. Mfaume Hassan Mbwile mkazi wa Mbagala nae pia alikabidhiwa zawadi
yake ya Limo Bajaj katika halfa iliyofanyika katika Bar ya Rich Hill Kongowe
|
No comments:
Post a Comment