January 4 mwaka 2015 Kenya imeingia
kwenye majonzi baada ya kumpoteza mtoto wa Waziri mkuu wa zamani Raila Odinga,
fidel Odinga ambaye alifariki nyumbani kwake ghafla baada ya kurudi kutoka
matembezi na kufikia kumpumzika na hadi umauti ulipomkuta. Leo mwili wa
marehemu Fidel Odinga umesafirishwa na Ndege ya jeshi la kenya Kenya Air Force
hadi katika mji wa kisumu ambapo msafara wake utaanzia hapo hadi kwenye kijiji
cha Opoda kilichopo kisumu Kenye na tayari kwa maziko siku ya kesho Jumamosi
tarehe 8 January nimekuletea picha hizi kutoka Kenya.
No comments:
Post a Comment