Baada ya rappa Ludacris kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa
muda mrefu ‘Eudoxie’ siku ya X Mass, rappa huyo aweka wazi kuwa usiku
huo walifunga ndoa.
Imeripoti kuwa baada ya Eudoxie kuvalishwa pete, alipelekwa na Luda
kwenye mgahawa mkubwa huko Georgia na walivyorudi nyumbani alikuta
tayari ametayarishiwa gauni la harusi na mama yake Ludacris.
Ilikuwa ni surprise kubwa kwa Eudoxie, walifunga ndoa nyumbani mbele
za ndugu na marafiki wachache. Fungate yao ilikuwa Costa Rica
No comments:
Post a Comment