Rappa Nikki Mbishi ametumia kurasa yake ya facebook kushare mitazamo hii baada ya kutangaza kuacha kurekodi na kufanya muziki.
Ni maswali anayojiuliza rappa huyu ambayo kwa namna moja ama nyingine
yanachangia kwa nyimbo nyingi za hiphop kukosa airtime kwenye radio na
tv Tanzania
No comments:
Post a Comment