Hizi ni picha zikionyesha show ya mkali Diamond Platnumz akiwa na kundi zima la Wasafi kwenye stage wakati wa show yake. Yeye binafsi kupitia account yake ya Instagram Diamond Platnumz amepata kuyaandika haya maneno:
Usiku
wa kuamkia leo wengi walikuwa wakisubiri hasa kujua na kuiona show
iliyo andaliwa na kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mkononi tiGo kupitia kampeni yao ya tiGo Kiboko Yao Concert ambapo wakali kibao akiwemo Abwene yesaya 'AY, Yamoto band, Diamond Platnumz nawengine walisababisha concert hiyo iende poa.
''Ntakuwa
Mchoyo wa fadhira sana kama sintochkua Muda huu kuwashkuru wananchi
wote waliokuja jana kutusupport vijana wao....hakika ilikuwa ni moja ya
Tamasha la Kihistoria sana... Wengine maskini walifika toka asubuhi na
kuvumilia hadi usiku wa manane, lakini naamini yote ni mapenzi ya dhati
kwa wasanii wao na sie tunawashkuru sana... Shukran na Heshima Nyingi
pia ziwafikie @TiGo_Tanzania kwa kuweza kutueka karibu na Mashabiki zetu
pendwa Mwanzoni huu mwa Mwaka..tafadhali naombeni Ruksa niwaekee picha
sasa
No comments:
Post a Comment