tuerney
ndio habari ya mujini kipindi hii, mwanadada huyo alianza kupata
umaarufu na mashabiki wengi walianza kumkubali jinsi alivyo na namna
anavyoolok like wema, but cha kushangaza umbea na udaku umeenza kusambaa
kupitia mitandao tofauti ya kijamii, zimekuwa zikionekana message
nyingi hususan huko insta zikimdiss mwanadada huyo, ikiwema account ya
wemaauntezekiel ambayo mmiliki wa account hiyo ajulikani..
hiyo ni
miongoni mwa picha iliyoenea kwenye mitandao tofauti tofauti huku watu
wakidiss eti before and after, huku wengine wakisema chanzo cha kuanza
kumdiss mwanadada huyo ni mara baada ya kualikwa kwenye shereh ya wema
sepetu, halafu eti akakataa na kuanza kujisfia kwa watu kuwa
amemkatalia, all in all mtandao wa makubwa haya utafanya jitihada ya
kumtafuta mwanadada huyo na kufanya nae interview ili ukweli upate
kujulika..
No comments:
Post a Comment