Mnamo
22/01/2015 majira ya 23:45hrs huko kijiji cha Songambele wilaya ya
Mlele,mkoani Katavi Richard Madirisha, msukuma, 31yrs,mkulima, akiwa
amelala na mke wake ghafla alivamiwa na watu wasiojulikana karibia
watano ambapo walivunja mlango na kuingia ndani na kuanza kumkatakata
mapanga, kutenganisha kichwa, sehemu za siri kisha kuchemsha viungo
hivyo nje ambapo moto ulikuwa unawaka.
Sufuria za kuchemshia viungo hivyo walivichukua ndani ambapo walimtishia mke wa marehemu aitwaye Mekrina Moses, msukuma, 25yrs asipige kelele.
Baada ya kukamilisha zoezi walinawa mikono kwa kutumia sabuni iliyokuwa nyumbani kwa marehemu na kuondoka na simu ya marehemu yenye namba 0783846414.
Taarifa za awali inaonyesha chanzo kulipiza kisasi kwani marehemu alikuwa akiishi Kaliua mkoani Tabora na huyo mwanamke alikuwa ni mke halali wa Shija Manyama wa Kaliua hivyo marehemu alipora mke wa mtu.
Kitendo hicho kilimuudhi Shija na kuamua kukata mapanga ng'ombe 7 wa marehemu na ugomvi ukawa unaendelea hadi July 2014 ambapo marehemu alihamia kijiji cha Songambele wilaya Mlele, na hata hivyo inasemekana vitisho viliendelea kutolewa na Shija dhidi ya marehemu kwa njia ya simu.
Jitihada za kuwatafuta watuhumiwa zinaendelea.

via>>Jamii Forums
No comments:
Post a Comment