27 January 2015

BREAKING NEWZZZ....MWENYEKITI WA CUF IBRAHIM LIPUMBA APIGWA VIBAYA BAADA YA KUKAIDI AMRI YA POLISI

HABARI ZILIZO TUFIKIA HIVI PUNDE NI KUHUSU  MWENYEKITI WA CUF PROF IBRAHIM LIPUMBA KUPIGWA ....HUKU PIA NA WAANDISHI WA HABARI KUPIGWA BAADA YA KUKAIDI AMRI YA POLISI ILIYO WATAKA KUTAWANYIKA.CUF ILIANDAA MKUTANO WAKIDAI NI MAALUMU KUWAKUMBUKA WALE WOTE WALIO FARIKI KATIKA MAANDAMANO YA CHAMA HICHO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname