BREAKIN NEWZZZ!!:- KIMENUKA BUNGENI SASA HIVI ONA KILICHOJIRI SASA HIVI LIVE!!
"SPIKA WA
BUNGE aairisha vunge paka saa kumi baada ya kutokea vurugu ndani....MH
MBATIA alileta hoja ya kujadili kukamatwa na kupigwa kwa
Prof;Lipumba.......SPIKA BUNGE alitoa ufafanuzi ya kuwa ameiagiza
serikali kutoa tamko kesho hivyo hoja hiyo ijadiliwe baada ya tamko
Wapinzani hawakuafiki maelezo ya SPIKA na kusababisha kutokea mvurugano"
No comments:
Post a Comment