Baby Joseph Madaha adai hadumu kimapenzi na wanaume kwasababu anaota akifanya ngono kila siku
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya
mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni
kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.
Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake aliliambia Ijumaa
kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku
anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na
mpenzi.
“Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha,
alipopatikana alisema: “Ni kweli ndoto za kimapenzi zinanitesa sana na
huwezi amini nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na mwanaume mwenye sura ya
Ronaldo (Mwanasoka wa kimataifa anayechezea Timu ya Real Madrid)
No comments:
Post a Comment