28 January 2015
ANGALIA NYUMBA INAYOELEA JUU YA MAJI HUKO ZANZIBAR
HII NI NYUMBA AMBAYO INAELEA KWENYE MAJI IPO ZANZIBAR WAZUNGU WANAKODI KUINJOY HOLIDAY ZAO
WAKIJA KUTEMBEA HAPA ZANZIBAR.
INAUWEZO WA KUMOVE COZ INAMASHINE KAMA BOT AU MELI. KARIBUNI ZANZIBAR.
JE UMEWAHI KUIONA?
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comments system
Disqus Shortname
No comments:
Post a Comment