Imevuja kuwa baada ya Diamond Platnumz na Wema kuachana, Diamond anaoneka akiwa na furaha sana akila bata na baby wake mpya Zarina.On other hand Wema yeye anaonekana Kuwa na mawazo sana kutokana na kuvurugika na penzi lake na mbongo fleva Diamond Platnumz.Huku akionekana kuwa kimya sana na kutokuoengelea chochote kuhusu swala hilom.
No comments:
Post a Comment