The Choice

01 December 2014

MAJONZI! MMILIKI WA MATTEI LODGE AFA AJALINI DODOMA!

Gari alilokuwemo Mattei likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali.

Wananchi wakiwa eneo la tukio.

Mmiliki wa Mattei Lodge enzi za uhai wake.MMILIKI wa Mattei Lodge iliyopo Area D mkoani Dodoma aliyefahamika kwa jina moja tu la Mattei amefariki dunia katika ajali ya gari jana Jumapili eneo la Pandembili, Kongwa. 
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa kuwa mwendo kasi uliopelekea gari hilo kuligonga gari lingine na kisha kupinduka. 

Marehemu Mattei alikuwa na wenzake watatu katika gari ambao walijeruhiwa.
Posted by Jason at 16:33
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • TAZAMA SHABIKI HUYU WA KIKE AKIWA NA BIKINI ALIPOVAMIA UWANJANI WAKATI MECHI IKIENDELEA
  • DIAMOND PLATINUMZ ANENA MAZITO KUHUSU WEMA, AJIAPIZA KIFO! WEMA NAYE AJIBU MAPIGO!
  • AJALI...AJALI...AJALI...Ajali ya ndege yawauwa wanne
  • WAFAHAMU WATANGAZAJI WENYE MKE ZAIDI YA MMOJA.
  • KIFO CHA LANGA KIMEKOLEZA BIFU YA MWANA FA NA LADY JAYDEE, SOMA DONGO LINGINE KUTOKA KWA MWANA FA
  • HAKIKA HUU UTANI MWINGINE AUFAI KABISA..HEBU CHEKI MOYES ANAVYOTANIWA MALA BAADA YA MATA KUWASILI MAN UNITED
  • PICHA ZAIDI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA KWELI TUZO ZA CHANNEL O NCHINI AFRIKA KUSINI
  • BREAKING NEWS,KIKOSI CHA TAIFA STARS CHATAJWA..BAHANUZI NDANI
  • POST YA DIAMOND KUHUSU KUIMBA KWENYE WE ARE THE WORLD AFRICA
  • MAGUFULI AHUTUBIA KISIWANI PEMBA LEO,AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.