MKONGWE wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amefunguka kwamba anaweza kuuweka kando ubonge na kurejea kwenye muonekano wake wa zamani kama atatakiwa kuwa hivyo.Mkongwe wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ akila tizi.
JB aliyasema hayo alipoulizwa kuhusiana na picha yake ya zamani
inayomuonesha akiwa mwembamba sana tofauti na ubonge alionao sasa ambapo alijitetea kwamba yeye ni msanii na filamu ndizo zinazomweleza awe katika muonekano gani.SOMA ZAIDI>>
inayomuonesha akiwa mwembamba sana tofauti na ubonge alionao sasa ambapo alijitetea kwamba yeye ni msanii na filamu ndizo zinazomweleza awe katika muonekano gani.SOMA ZAIDI>>
No comments:
Post a Comment