Sherehe ya kutimiza kwake miaka 16 ilifanyika Atlanta Marekani ikiambatana na tamasha dogo ambalo Nicki Minaj aliimba “Moment 4 Life” na “Flawless (Remix) kwenye stage na kushuhudiwa na baadhi ya mastaa akiwemo T.I, Tiny, Kandi Burruss, Fantasia na Jacob Latimore.
Birthday girl mwenyewe ambae ni msanii chini ya lebo ya Young Money alichukua time yake kwenye stage na kuimba single yake ya ‘mind going’SOMA ZAIDI>>>
No comments:
Post a Comment