19 December 2014

KITUKO......ALIYE KUWA MCHUMBA WA MH.SUGU AAMUA KUVAA (pampers) KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA



Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku
yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!! 
Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname