20 December 2014

JOE HART AONGEZA MKATABA NA MAN CITY HADI 2019

Kipa Joe Hart ameongeza mkataba na kikosi cha Man City ambayo sasa utamalizika mwaka 2019.


Hart ambaye amekuwa mchezaji wa kwanza kuongeza mkataba na City katika kipindi hiki.


Mkataba huo wa Hart, sasa atakuwa akilipwa pauni 120,000 kwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname