17 November 2014

UNDANI WA ASKOFU ALIYEJITANGAZA KIFO, AKAFA KWELI

Askofu, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi. Kwa mujibu wa mashuhuda ambao ni viongozi na baadhi ya waumini wa kanisa hilo, tukio hilo lilijiri Alhamisi iliyopita ambapo askofu huyo aliwaita makuhani (Viongozi) kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Bongo na kuwaambia mambo manne muhimu.
MSHTUKO! Kifo cha Askofu na Nabii wa Kanisa la The Pool of Siloam lililopo Mbezi-Makonde, Kinondoni, Dar es Salaam, Elia Munuo almaarufu kwa jina la Adam wa Pili, Mungu wa Majeshi, kimeacha ‘sintofahamu’ kwa kuwa kiongozi huyo alitabiri na kutangaza tukio hilo na likawa kweli, Ijumaa Wikienda limechimba undani wa tukio hilo.

Mmoja wa waumini wa kanisa la The Pool of Siloam akiwa getini. Mambo hayo ni pamoja na wosia wake ukiwa na kauli yake ya kusindikiza safari yake ya mwisho kwa kuwa alikiona kifo chake kuwa kingejiri mchana wa siku hiyo na kuwataarifu huku akiwa mzima wa afya.SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname