MWANAMUZIKI
wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya
kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza
na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna
taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini
ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.
No comments:
Post a Comment