The Choice

13 November 2014

MONALISA ATAMANI KUOLEWA JUA LIMEKUCHWA

Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ‘Monalisa’.
Staa wa Filamu za Kibongo, Yvonne Sherry ‘Monalisa’ hivi karibuni aliweka wazi kuwa anatamani kuolewa lakini hajampata wa kumuoa.Monalisa alifunguka maneno hayo baada ya uvumi kuenea kuwa amepata mtu anataka kumuoa na mipango ya ndoa iko tayari.
“Mh! Wewe si wa kwanza kuniambia maneno haya jamani hivi yanatoka wapi? Mimi sijapata mtu wa kunioa jamani ila nikimpata nitaolewa kwa sababu jua limekuchwa pia ndoa ni jambo la heri,” alisema Monalisa
Katikati ya mwaka huu, Monalisa alionyesha matamanio yake ya ndoa ambapo alivaa shera kwenye harusi ya rafiki yake na kuingia na mumewe ikiwa kama maigizo kituko hicho kiliipendezesha shughuli hiyo.
Posted by Jason at 11:30
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

  • HATIMAYE MKUBWA FELA AWACHANA LIVE KILIMUSIC AWARDS...CHEKI ALIVYO FUNGUKA
  • Diamond afunguka kwa mara ya kwanza kile kilichomkuta akiwa polisi, soma hapa
  • MREMBO ANAYETIKISA MITANDAO YA KIJAMII BONGO ASUBUHI YA LEO
  • Rekodi yawekwa: Floyd Mayweather v Manny Pacquiao tiketi zaisha ndani ya sekunde 60
  • MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE
  • ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)
  • Hii ndio Mishahara ya Marais wa Afrika,Rais Kikwete aongoza Afrika ya Mashariki
  • KAMA ULIKUWA HUJUI HUYU NDIYE MKE WA MKONGWE WA MZIKI WA BONGO FLEVA PROF JAY
  • Top 30 ya wasanii wa hip-hop matajiri duniani
  • RAIS KENYATTA SASA NI MOTO WA KUOTEA MBALI SANA ONA BALAA LAKE HUKO KENYA TENA LIVE!!

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.