Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. …. What more can I SAY??#MWANALIZOMBE.”
Ukiiangalia
kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia fimbo na
mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake ‘Tatu Chafu’. Usiongeze neno. Chukua sentensi alizoandika mkubwa.
No comments:
Post a Comment