14 November 2014

MAMA WEMA APEWA ZA USO LIVE NA ISABELA WA BONGO MUVI!

Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda.
Akistorisha na gazeti hili, Isabela alisema siku zote unaopenda ni moyo siyo mwili kwa hiyo mama Wema kama anataka mwanaye aachane kabisa na Diamond basi amtoe moyo uliompa nafasi mwanaume huyo.
MSANII wa Filamu na Muziki Bongo, Isabela Mpanda amemvaa mama wa msanii mwenzake, Wema Sepetu, Miriam Sepetu na kumtaka aache kuingilia mapenzi ya mwanaye kwani mapenzi hayaingiliwi. 

Mama mzazi wa msanii maarufu bongo, Wema Sepetu.SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname