Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti Boys’ akidai kuwa wanajichoresha.Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Mai alisema anawashangaa baadhi ya mastaa hao kutoona aibu kutangaza kuwa wanatoka
na Serengeti Boy huku wakionekana maeneo mbalimbali wakiponda raha.
na Serengeti Boy huku wakionekana maeneo mbalimbali wakiponda raha.
“Mimi mpaka naogopa na nawaonea huruma kwani hali ni mbaya jamani, watoto wadogo wanatoka na wasanii waliowazidi sana kiumri, yani imekuwa ni kama fasheni sasa, huku ni kujichoresha,” alisema Mai.
No comments:
Post a Comment