15 November 2014

GARI ALILOZAWADIWA WEMA SEPETU NA KADINDA PAMOJA NA SAFARI YA CHINA NDIO SABABU YA DIAMOND KUACHANA NA WEMA ..UKWELI HUU HAPA

Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown leo kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.

Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond
ampe story kamili.

Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana, SOMA ZAIDI>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname