15 November 2014

MTOTO NURU ALIYETEKWA AKUTWA AMEUWAWA KINYAMA

   
siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa kiume
akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru
ndipo mama wa binti huyo alipo acha shuguri zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana. PICHA ZAIDI HAPA ZINATISHA>>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname