The Choice

15 November 2014

PENZI LA DK CHENI HATARI SANA, LAMLIZA MSANII HUYU WA KIKE BONGO MUVI!

Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Akipiga stori na paparazi wetu, Bozi alisema kuwa, miaka mingi iliyopita, akiwa ametoka kuchezwa unyago, mkongwe huyo wa sanaa ya maigizo alitinga nyumbani kwao kwa lengo la kumuoa na kukubaliana na wazazi wake, akamletea pozi.

MSANII wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema anajutia kitendo chake cha kumtolea nje staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ pale alipotangaza nia ya kutaka kumposa na kujiona bado mdogo. 

http://www.rahatupu.us/Staa wa filamu Bongo, Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. “Dah! Sa hizi ningekuwa nimetulia kwenye ndoa yangu na Dk. Cheni sababu wazazi walikubali, sasa maringo yangu yameniponza,” alisema Bozi.Alipotafutwa Dk. Cheni kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kumfahamu Bozi kama msanii lakini hakumbuki kama aliwahi kumtaka.
Posted by Jason at 13:00
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Comments system

Disqus Shortname

Social Widget

  • Instagram
  • The Choice
  • Twitter

Facebook

Flickr Widget

Boxed Version (yes/no)

IMG Scroll Animation (yes/no)

Widget Recent Post No.

Widget Random Post No.

Widget Recent Comment No.

PageNavi Results No.

Social Media Icons

  • choice

Ola

  • Download New Music
  • New Video
  • Nunua Gari Hapa
  • Contacts
New Video

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

pin blw

google analytics

Random Posts

Most Recent

Social Media Icons 2

  • The Choice

Contact us

Name

Email *

Message *


Total Pageviews

.

.

.

.

Popular

Blog Archive

My Website List

Recent

Comments

Simple theme. Powered by Blogger.